Wednesday, September 17, 2014

NYAMAYAO AJA NA JOYCE

Msanii mkongwe aliyewahi kutamba sana katika kundi la Kaole Sanaa Group, amevunja ukimya anakuja na mzigo huu, hebu muunge mkono kwa kununua nakala halisi halafu uangalie uone ukweli wa msemo "Ng'ombe Hazeeki Maini"

1 comment:

  1. Ali Upoo? Nipigie tuwasiliane kuhusu script yangu ya ofisi ya mfukoni number yangu unayo.

    ReplyDelete