Wednesday, May 25, 2011
Karibu katika YAKUTI WORLD MOVIES....
Karibu katika blog yangu Ali Yakuti ambapo nitakuletea mambo mbalimbali yanayohusu ulimwengu wa Filamu katika nyanja mbalimbali ikiwemo upigaji picha, uandaaji, uchambuzi wa Story(hadithi) uandikaji wake wa Script, kazi baada ya utayarishaji (Post Production). usambazaji na inapokuwa sokoni na mengine mengi katika Tasnia ya Filamu Ulimwenguni hasa katika Nchi yetu ya Tanzania.
Karibu.
Ali yakuti
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment