Thursday, May 26, 2011

HANDSOIME WA KIJIJI MTAANI SASA

Kampuni ya RJ Company, kwa mara nyingine tena hivi karibuni imeingiza sokoni filamu yake mpya inayokwenda kwa jina la HANDSOME WA KIJIJI. Filamu hii imeshiurikisha mchanganyiko wa waigizaji mahiri akiwemo Vincent Kigosi ambaye pia ni muongozaji wa filamu hiyo, pamoja na wengine kadhaa chipukizi. Filamu hiyo kwa kiwango kikubwa imeigizwa kwa kuzingatia maisha ya watanzania wengi ambao wanaishi kijijini.

No comments:

Post a Comment