Kama lilivyo jina lake, mimi siwezi kupredict chochote kilichomo ndani ya filamu hii mpya kwa mwaka huu toka RJ Company, ingawa kama desturi ni kazi nyingine ya mkono wangu...Kitu pekee ninachoweza kukuahidi ndani ya mzigo huo ni kwamba, hautajutia pesa yako pale utakaponunua nakala yako halisi. Kazi imetulia tangu kisa chake, mtiririko wa matukio, ubora wa picha na hata midundo ya kusindikiza. Kazi kwako...Usiseme sijakuambia.
No comments:
Post a Comment